domingo, 1 de febrero de 2009

BONGO FLAVA: X PLASTAZ

Aquí pongo un video de ¨Bongo Flava". Así se llama el hip hop alternativo tanzano. El grupo se llama X Plastaz que habla de los problemas sociales en África. La canción se llama "Nini dhambi kwa mwenye dhiki" del album Maasai hip hop.


La letra en swahili es la siguiente (iré poniendo la traducción al español):


Nini dhambi kwa mwenye dhiki?
¿Cual es el pecado de los pobres?
by X PlastazLyrics by Nelson C. Buchard (Faza Nelly)
From the album 'Maasai hip hop' (Out Here records, 2004)Swahili lyrics
(English intro):
All my people East AfricaTanzania, Uganda and Kenya
Dar es Salaam, A townWherever you are
Piga magoti, tuombe Mungu (Arrodíllate, Pidamos a Dios)
Hii ni siasa, dini, vita, ubwana, utwana, au kiama ghalika, sodoma na gomora? (Esto es la política, la religión, la guerra, tiranía, esclavitud, el día del juicio final, sodoma y gomorra?)
Simama imara, zunguka kila kona, kila anga angaza (Detente fuerte, mira en cada esquina, en cada lugar)
Kushoto, kulia, mbele, nyuma kote pitia (Observa a tu derecha, tu izquierda, delante, detrás)
Na hapo ulipojishikiza g'ang'ania, sikilizia, vumilia baadae usije jutia (Y ahora ten paciencia, escucha, no te vayas a arrepentir)
Hii ni mahususi na maalum kwa watu wangu (Esto va para mi gente)
Walemavu, vipofu, zeruzeru na wendawazimu (Mutilados, ciegos, albinos y locos)
Watoto wa mitaani, fukara, masikini na wenye akili zao timamu (Niños de suburbios, desgraciados, pobres y aquellos que piensan)
Hii kamba ngumu (Esto es una dura cuerda)
Mjue tunavutana na wenye nguvu (Que sepas que tiramos con fuerza)
Vitambi na mashavu (para derrocar a los poderosos)
Hakuna tena fair game (ya no más juego limpio)
Refarii kauzu (el árbitro está vendido)
Uwanja wenyewe mkavu (el campo está seco)
Ujira mgumu, malipo finyu (no hay trabajo, el salario bajo)
Kilichobaki kucheza rafu (hay que jugar duro)
Tumechoshwa na ukabaila, ubepari na ubeberu (Estamos cansados de los ricos, capitalistas y dictadores)
Wakati ndo huuUkombozi ndo huu (es hora de liberarnos)
Na sasa naamuru mliopo chini wote mpate divai ya vinibu
Mtetezi wenu nikaze gidamu
Nimwage sumu ya upupu juu yao
Wajikune bila aibu
Kwanza saluti kwa waliyotangulia kuzimu
Pili tuombe MunguBaba yetu, utupe mkate wetu wa kila siku
Utujaze nguvu
Tupate kudumu ndani ya game
Tutakapofika kuzimu siku ya hukumu
Utupe nafasi tupate kutubuKwani tunajua tunatenda maovu
Tunakula haramu
Tunatumia kila mbinu
Juju, uhalifu, upanganyifuIli tuweze kujikimu
Lakini isiwe kisingizio kwa wanadamu wengine kunyimwa haki zetu
Kutuzibia riziki zetu
Kutuita makafiri, dharau na kutukashifu
Kwani nini dhambi
Chorus :
Nini dhambi kwa mwenye dhiki,
Kipi haram, kipi halali,
Kila mmoja anaitaka hii riziki Kitendawili, vurugu mechi
Huwezi tabiri
Kwa nini ? Uliza swali, kama sote tungekuwa wasomi, matajiri
Ni nani angelifanya kazi za kutisha na hatari mfano ya mochwari
Kila mmoja wetu hapa mjini kaja kwa dili
Kila kitu, kila mahali
Na hata ngozi ya mtu dili
Wengine wachawi, waganga feki
Matapeli, wasafiri kafiri
Wakati wengine wapole kama walokole
Mchana pirika nyingi maofisini
Kumbe night kali, kahaba
Shuga, jambazi, mengine ya kusitiriAh!
Wapo waliopoteza maisha katika kufight life
Kumbukumbu zao zimebaki makaburini
Na wapo waliopoteza kabisa tumaini la kuwini
Hao roho zao utadhani wamezitoa rehani
Wakikutight mahali fulani
Inabidi uwakabidhi mshahara wote wa mwisho wa mwezi
(Chorus)
Kweli Bongo kutafuta braza
Utajajuta utakapojikuta huna hata bukta
Shauri yako we tegesha tu kama golikipa
Na hao unaowategemea mwishowe watakutosa
Huna elimu, hun fani
Lakini nguvu, ulimi, uchumi unao unaukalia
KumbukaKupata au kukosa yote ni kawaida
Sometimes unalala unaota unakula
Unakunywa, unapiga denda
Na kula uroda na demu bomba
Ukikurupuka tu unakuta patupu
Hakuna kitu
(Chorus, Yamat singing a traditional Maasai song)

No hay comentarios: