sábado, 19 de diciembre de 2009

NAMBARI YA AFRICA/ AFRICA EN CIFRAS





Algunas cifras para África:


Kimo ya Kilimanjaro: Mita elfu tano na mia nane tisini na tano.
Altura del Kilimanjaro: 5895 m.
Watu wanaishi kasoro dola moja kila siku: asimilia thelathini na sita.
Personas viviendo con menos de un dolar al día: 36%
Asilimia kumi na nne ya watu wa ulimwengu.
14% de la población mundial.
Nchi hamsini na tatu.
53 países.
Wafiwa: Milioni kumi na mbili.
Huérfanos: 12 millones.
Wanafunzi wa secondary: asilimia thelathini na moja.
Escolarización en secundaria: 31%
Kadiri ya mwana sita kila mke.
Media de 6 hijos por mujer.
Lugha elfu moja.
1000 lenguas.
Vifo ya malaria: asilimia themanini ni watoto kasoro wa miaka tano.
Muertes por malaria: el 80% son niños de menos de 5 años.
Watu milioni mia tisa.
900.000.000 de personas.
Simu ya intaneti: milioni arobaini na nne.
Usuarios de internet: 44 millones.
Nelson Mandela alikuwa gerezani: miaka ishirini na saba.
Nelson Mandela estuvo en la cárcel : 27 años.
fuente: worldfamousdesignjunkies

No hay comentarios: